Leo Karasuma

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Leo Karasuma alikuwa katekista wa Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko aliyefia dini nchini Japani (1597).

Dhuluma dhidi ya Wakatoliki zilipozidi, yeye na wenzake 25 (mapadri na watawa 8 na walei 17[1]) walikamatwa, walitukanwa na kuteswa vikali, na hatimaye wakasulubiwa huko Nagasaki tarehe 5 Februari mwaka 1597, huku wakifurahia neema ya kuuawa namna ileile ya Yesu[2].

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake na ya wafiadini wenzake huadhimishwa kila mwaka tarehe 6 Februari[3].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo ya Kiswahili

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads