Lifardi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Lifardi (Mans, Ufaransa, karne ya 6 - Meung-sur-Loire, Orleans, 570 hivi[1]) alikuwa gavana wa Orleans ambaye kufikia umri wa miaka 40 aliacha utawala akawa shemasi, halafu mkaapweke, padri na baadaye alianzisha monasteri ambapo alifariki[2].

Thumb
Mt. Lifardi akimponda joka.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Juni[3][4]..

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads