Lincoln Burrows

From Wikipedia, the free encyclopedia

Lincoln Burrows
Remove ads

Lincoln Burrows ni jina la kutaja mhusika mkuu wa kipindi cha mfululizo wa televisheni maarufu kama Prison Break. Uhusika huu ulichezwa na Dominic Purcell. Njama kuu za mchezo huu wa Prison Break una mhusisha Lincoln Burrows' kwa kuhusika na mauaji ya kaka wa makamo wa rais na halafu baadaye ndugu wa Burrow (Michael Scofield) ana fanya mpango wa kumsaidia kumtorosha kaka yake jela dhidi ya adhabu ya kifo.

Ukweli wa haraka Uhusika wa Prison Break, Pia anajulikana kama: ...

Ndugu wa Lincoln, Michael Scofield imechezwa na Wentworth Miller. Katika sehemu za mwanzo, Lincoln mdogo ilichezwa na Max Kirsch, wakati Michael ilichezwa na Hunter Jablonski.

Ikiwa kama sheria za uhusika mkuu, Lincoln amecheza katika kila sehemu maarufu za mfululizo mzima. Mahusiano ya wandugu hawa katika mfululizo huu ilikuwa ni kufanya upelelezi wa kina na hata kuthubutu kujitolea mhanga katika kila sehemu ya mchezo huu.

Katika mahojiano, mbunifu wa mfululizo huu Bw. Paul Scheuring alisema ya kwamba "ni vigumu mno" kushirikisha uhusika wa Lincoln na Michael.[1] Dominic Purcell alishiriki katika mfululizo huu siku tatu nyuma kabla ya matayarisho ya mfululizo kamili kuanza.[2]

Remove ads

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads