Lucian Msamati

From Wikipedia, the free encyclopedia

Lucian Msamati
Remove ads

Lucian Wiina Msamati (amezaliwa 5 Machi mwaka 1976) ni mwigizaji Mwingereza.

Thumb
Lucian Msamati

Alicheza Salladhor Saan katika mfululizo Game of Thrones na alikuwa mwigizaji wa kwanza Mweusi kucheza Iago katika tamasha Othello ya Royal Shakespeare Company kwenye mwaka 2015.

Maisha ya awali na Elimu

Msamati alizaliwa Uingereza na wazazi Watanzania, baba daktari na mama muuguzi, akiwa mkubwa kati ya ndugu zake wanne. Alilelewa Zimbabwe. Elimu yake ya msingi ilianza katika shule ya msingi Olympio Primary School iliyopo Dar-es-Salaam, Tanzania, na kuendelea katika shule ya Avondale Primary School iliyopo Harare, Zimbabwe.

Baada ya shule ya sekondari ya Prince Edward School iliyopo Harare, alisoma shahada ya kwanza katika lugha za Kifaransa na Kireno katika Chuo Kikuu Zimbabwe kuanzia mwaka 1995 hadi 1997.[1][2][3]

Remove ads

Kazi

Ukumbi wa michezo

Thumb
Msamati (kushoto) na Lenny Henry katika The Comedy of Errors, 2011.

Baada ya chuo alifanya kazi kama mtangazaji wa matangazo copywriter na mtangazaji wa redio wa kujitegemea. Pia alifanya kazi kama msanii wa kujitegemea kwenye matamasha pia mzungumzaji wa usiku kwenye chakula cha usiku.

Mnamo mwaka 1994, Msamati na marafiki zake wa shule Shaheen Jassat (amefariki), Craig and Gavin Peter, Kevin Hanssen, Roy Chizivano, Sarah Norman waliunda ukumbi wa mchezo uliosifika sana Zimbabwe Over the Edge Theatre Company[4].

Huko Harare, baadaye aliungana na Erica Glyn-Jones, Zane E. Lucas, Chipo Chung, Karin Alexander, Rob Hollands na Michael Pearce. [1]

Mnamo mwaka 2010, Msamati alichaguliwa kuwa mkurugenzi wa kisanii wa nyumba ya michezo ya British-African theatre company Tiata Fahodzi,[3] until being succeeded in 2014 by Natalie Ibu.[5] Aliendelea kufanya kazi na Tiata Fahodzi, akiongoza Boi Boi is Dead mnamo 2015.[3]

Masika ya mwaka 2015, Msamati alikuwa mwigizaji wa kwanza mweusi kuwahi kucheza Iago in a Royal Shakespeare Company iliyotolewa na Othello (with Hugh Quarshie kwenye uhusika wa kichwa).[3][6]

Kuanzia Oktoba 2016 hadi Machi 2017 na kuanzia Februari hadi 24 Aprili 2018, alitoa onyesho katika uhusika ukuu katika Antonio Salieri kwenye mchezo wa Peter Shaffer Amadeus katika National Theatre, onyesho ambaloMichael Billington, kwenye uhusika wa nne walio shiriki The Guardian, aliitaja kama "nzuri sana".[7][8]

Mwaka 2019 alikuwa nyota kama Sam kwenye Master Harold and the Boys kwenye Royal National Theatre.[9][10]

Msamati ametokea katika maonyesho mengi ya nyumba za michezo ya London, UK, zikiwemo:

  • Fabulation (play)|Fabulation, Tricycle Theatre[4]
  • Gem of the Ocean, Tricycle Theatre[4]
  • I.D. (play)|I.D., Almeida Theatre[1]
  • Mourning Becomes Electra, Royal National Theatre[4]
  • The Overwhelming, Royal National Theatre[4]
  • Pericles, Prince of Tyre, played the title role, Royal Shakespeare Company[4]
  • President of an Empty Room, Royal National Theatre[4]
  • The Resistible Rise of Arturo Ui, Lyric Hammersmith[1]
  • Walk Hard, Tricycle Theatre[4]
  • Death and the King's Horseman, Royal National Theatre[11]
  • Ruined, Almeida Theatre[12]
  • Clybourne Park, Royal Court Theatre[13]

Runinga

Pia ametokea katika maonyesho ya runinga, ikiwemo vipindi vya sehemu vya runingaUltimate Force and Spooks. Mnamo mwaka 2008, alichukua uhusika muhimu, wakucheza JLB Matekoni kwenye BBC/HBO-produced series The No. 1 Ladies' Detective Agency.[14] Pia aliongoza vipindi vya BBC Luther, Ashes to Ashes, Doctor Who, Taboo, and Death in Paradise, as well as playing the part of the pirate Salladhor Saan in the HBO series Game of Thrones.[15][16]

Hivi karibuni ametokea kama Lord Faa kwenye His Dark Materials katika BBC One. Mnamo 2020 Msamati alitokea kama Ed Dumani kwenyeSky Atlantic’s Gangs of London[17] na kwenye kipindi cha BBC cha Alan Bennett's Talking Heads.[18]

Filamu

Msamati ametokea katika filamu ya The International (2009). Filamu zingine ni Lumumba (1999), directed by Raoul Peck; the animated feature The Legend of the Sky Kingdom (2003), directed by Roger Hawkins and Richard II, directed by Rupert Goold.[19]

Radio

Msamati ametokea kama Matthew kwenye BBC Radio 4 drama Burned to Nothing (2011) by Rex Obano.[20]

Remove ads

Maisha binafsi

Msamati alihama kabisa kuelekea UK mwaka 2003[1] na kuishi London hadi sasa.[19]

Kazi za sanaa

Runinga

Maelezo zaidi Year, Title ...

Film

Maelezo zaidi Year, Title ...
Remove ads

Tanbihi

Viungo vya Nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads