Luka wa Melicuccà
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Luka wa Melicuccà (Melicuccà, Reggio Calabria, Italia Kusini, 1035/1040 - Amaroni, Catanzaro, 10 Desemba 1114) alikuwa Mkristo wa Mashariki aliyeishi kama mmonaki wa Kibazili. Mapema alipewa upadirisho halafu akawa askofu wa Isola [1]. Hatimaye alianzisha monasteri alipofariki [2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 10 Desemba[3].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads