Reggio Calabria
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Reggio Calabria (kwa usahihi zaidi: Reggio di Calabria; kifupi hata Reggio, ingawa kifupi hicho kinaweza kumaanisha pia Reggio nell'Emilia) ni mji wa Italia Kusini katika mkoa wa Calabria.

Mji upo mita 31 juu ya usawa wa bahari.
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 200,330 wanaoishi katika mji huu.
Mtume Paulo alipitia huko kuelekea Roma mwaka 61 (Mdo 28:13).
Askofu wake wa kwanza alikuwa Stefano wa Nisea ambaye alifika huko pamoja naye afadia dini mwaka 78 hivi.
Remove ads
Tazama pia
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads