Lutricia McNea
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Lutricia McNeal (amezaliwa tar. 27 Novemba, 1973 huko mjini Oklahoma City, Oklahoma) ni mwimbaji wa muziki wa soul/pop kutoka nchini Marekani. Alipata mafanikio yake kimataifa kwa vibao vyake kadhaa kama vile "Ain't That Just the Way" (UK: #6, Germany: #5, Sweden: #1) kibao ambacho kiliuza nakala milioni mbili dunia nzima, "Stranded" (UK: #3, Sweden: #6) na "Someone Loves You Honey" (UK: #9).
Remove ads
Wasifu
Maisha ya awali
McNeal ni mtoto wa saba katika familia ya watoto tisa. Baba yake ni mchungaji na yeye Lutracia alikuwa mwimbaji wa kwaya katika kanisa la katika kamji kao. Kipaji chake kiligunduliwa na Rogers/Grantham, kazi yake ilianza kushika hatamu baada ya ziara ya Ulaya, ambapo alijiunga na kikundi cha watayarishaji cha Kiswidi Rob'n'Raz. Kwa pamoja watatu hao walipeleka katika chati vibao kadhaa ikiwa pamoija na Top 20 #1 huko Sweden, kibao cha "Clubhopping" (Sweden: #13), "Bite the Beat" (Sweden: #14) na "In Command" (Sweden: #1).
Miaka kadhaa baadaye akaanza kazi zake za kujitegemea na kufanya kibao #1 "Ain't That Just The Way" kibao ambacho kilimfanya awe maarufu dunia nzima. Kilikuwa habari mjini katika chati mbalimbali huko Ulaya na baadaye huko Asia mwisho kikatua katika chati maarufu za US Billboard Dance Charts na kushika nafasi ya kwanza. Kibao baadaye kilitunukiwa dhahabu katika nchi kadha wa kadha.
Remove ads
Diskografia
Studio albamu
- 1997 My Side of Town / Lutricia McNeal (UK title)
- 1999 Whatcha Been Doing
- 2002 Metroplex
- 2004 Soulsister Ambassador
Single
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads