Oklahoma
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Oklahoma ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Mji mkuu na mji mkubwa wa jimbo ni Oklahoma City. Imepakana na Kansas, Missouri, Arkansas, Texas, New Mexico (Meksiko Mpya) na Colorado. Idadi ya wakzi wa jimbo lote hufikia watu 3,617,316 wanaokalia eneo la 181,195 km² ambalo ni hasa milima na jangwa.
Remove ads
Viungo vya Nje

![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Oklahoma kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads