Malaga
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Malaga ni mji (manispaa) wa Hispania, makao makuu ya mkoa wa Málaga katika Jimbo la Andalusia.

Tarehe 1 Januari 2019 wakazi wake walikuwa 571,026 [1], ukiwa jiji la pili Andalusia na la sita nchini kwa wingi wa watu.
Pia ni jiji kubwa kati ya majiji yaliyopo kusini kabisa mwa Ulaya: liko katika Costa del Sol (Pwani ya Jua) ya Mediteranea, kilomita 100 (maili 62.14) mashariki kwa Mlangobahari wa Gibraltar na kilomita 130 (maili 80.78) kaskazini kwa Afrika.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads