Mabogini
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mabogini ni kata ya Wilaya ya Moshi Vijijini katika Mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 57,231 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 28,992 [2] walioishi humo.
Msimbo wa posta ni 25201
Usafiri wake huanzia katika soko la Mbuyuni kwa hiace au pikipiki. Mabogini inasifika kwa kulima mpunga unaolisha asilimia kubwa ya watu wa Mkoa wa Kilimanjaro na mikoa jirani.
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads