Magharibi mwa Norwei
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Magharibi mwa Norwei (Kinorwei: Vestlandet, Vest-Norge, Vest-Noreg) ni kanda iliyopo katika pwani ya bahari ya Atlantiki huko mjini kusini mwa nchi ya Norwei. Kanda ina-jumlisha baadhi ya majimbo kama vile Rogaland, Hordaland, Sogn og Fjordane, na Møre og Romsdal na kanda ina wakazi wapatao milioni 1.3. Mji mkubwa kabisa katika kanda hii ni Bergen, wa pili kwa ukubwa ni Stavanger. Agder, Vest-Telemark, Hallingdal, Valdres na sehemu za kaskazini mwa Gudbrandsdal zilikuwa katika jimbo hili wakati wa kupanga Magharibi mwa Norwei.[1][2]

Remove ads
Miji
Kanda hii ina miji ipatayo 22. Imewekewa ukubwa kulingana na idadi ya wakazi:
- Bergen
- Stavanger
- Sandnes
- Ålesund
- Haugesund
- Molde
- Kristiansund
- Stord
- Egersund
- Førde
- Bryne
- Florø
- Åkrehamn
- Kopervik
- Jørpeland
- Odda
- Ulsteinvik
- Sauda
- Fosnavåg
- Skudeneshavn
- Måløy
- Åndalsnes
Wilaya

Hizi ni wilaya ambazo zimegawiwa kulingana na mfumo wa utawala wa sasa. Umepangwa kutoka Kaskazini kwenda Kusini.
- Nordmøre (kikawaida haujumlishwi katika sehemu ya Magharibi mwa Norwei)
- Romsdal
- Sunnmøre
- Nordfjord
- Sunnfjord
- Sogn
- Voss
- Nordhordland
- Midthordland
- Sunnhordland
- Hardanger
- Haugaland
- Ryfylke
- Jæren
- Dalane
Majimbo
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads