Magneriki
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Magneriki (Trier, leo nchini Ujerumani, 522 hivi - Trier, 25 Julai 596 hivi) alikuwa askofu wa Trier baada ya mwalimu wake Niseti wa Trier[1][2][3], ambaye kwanza alikwenda naye uhamishoni, halafu akamuiga katika ari ya kichungaji [4].
Rafiki yake Gregori wa Tours aliandika juu yake[5]. Pia Venansi Fortunati alimsifu kwa maadili yake[6][7].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi[8] kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads