Magnus wa Fuessen
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Magnus wa Fuessen (pia: Magnoald, Mang; 699 hivi - Fuessen, Ujerumani, 6 Septemba 772 hivi) alikuwa abati katika Bavaria ya leo[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads