Magofu ya Mushembo
makazi ya Waswahili wa zama za kati mkoani Tanga From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Magofu ya Mushembo ni magofu ya kihistoria iliyoko kusini mwa Mkoa wa Tanga, Tanzania.
Sehemu hiyo ni pahali yenye magofu ya Waswahili wa Zama za Kati ambayo bado hayajachimbuliwa. [1]
Angalia pia
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads