Malardo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Malardo (alifariki Chartres, Neustria, leo nchini Ufaransa, 650) alikuwa askofu wa mji huo [1]
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Januari[2].
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads