Mamlacha
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mamlacha (alifariki nchini Uajemi, 345 hivi) alikuwa bikira Mkristo kutoka nchi ya Wagaramei (Syria) aliyeuawa kwa sababu ya imani yake katika dhuluma ya mfalme Sabor II[1][2].
Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi, Waorthodoksi wa Mashariki na Wakatoliki kama mtakatifu mfiadini.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads