Wilaya ya Ilemela
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Manisipaa ya Ilemela ni wilaya moja kati ya mbili zinazofanya Jiji la Mwanza kwenye Mkoa wa Mwanza, pamoja na manisipaa ya Nyamagana.

Wakati wa sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 343,001 [1]
Misimbo ya posta katika Ilemela inaanza kwa tarakimu 332 .
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads