Mapinduzi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mapinduzi

Mapinduzi (kutoka kitenzi "kupindua" juu chini) ni mabadiliko ya haraka upande wa siasa na miundo yanayotokana na shinikizo la wananchi, linalotumia mara nyingi nguvu.

Thumb
Mashambulizi ya Bastille, 14 Julai 1789 ndiyo mwanzo wa Mapinduzi ya Ufaransa, ambayo ndiyo maarufu kuliko yote.
Thumb
George Washington, kiongozi wa Mapinduzi ya Marekani (1775-1783).
Thumb
Sun Yat-sen, kiongozi wa Xinhai Revolution huko China mwaka 1911.
Thumb
Vladimir Lenin, kiongozi wa Mapinduzi ya Urusi ya mwaka 1917.

Katika historia ya binadamu mapinduzi yalitokea mara nyingi kwa sababu, mbinu, muda na malengo mbalimbali.

Hayo yalifuatwa na athari kubwa juu ya utamaduni na uchumi wa jamii husika.

Pengine mabadiliko hayo ya mwisho pia yanaitwa mapinduzi hata yasiposababisha serikali ianguke.

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.