Maria Alfonsa Matathupadathu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Maria Alphonsa Muttathupadathu (Kudamalloor, karibu na Kottayam, huko Kerala[1]19 Agosti 1910 - Bharananganam, 28 Julai 1946) alikuwa bikira Mfransisko wa Kanisa Katoliki la Kisiria la Malabar nchini India.


Ili asiolewe kwa shuruti, alijichoma mguu kwa kuuweka motoni. Kisha kupokewa katika shirika ya Waklara wa Kimalabari, alimtolea Mungu maisha yake yote akiwa mgonjwa karibu mfululizo [2].
Alitangazwa mwenye heri na Papa Yohane Paulo II tarehe 8 Februari 1986 akatangazwa mtakatifu na Papa Benedikto XVI tarehe 12 Oktoba 2008.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads