Maria Ana wa Yesu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Maria Ana wa Yesu (jina kamili la Kihispania ni Mariana de Jesús Paredes y Flores; Quito, Ekwador, 31 Oktoba 1618 - Quito, 26 Mei 1645, alikuwa bikira wa Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko aliyejitoa kwa Kristo na kuhudumia Waindio na watu kutoka Afrika fukara [1].

Papa Pius IX alimtangaza mwenye heri tarehe 20 Novemba 1853. Papa Pius XII akamtangaza mtakatifu tarehe 4 Juni 1950[2], akiwa mtu wa kwanza kutoka Ekwador, na Mfransisko wa kwanza kutoka Amerika Kusini kutangazwa mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads