Maria Desolata
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Maria Desolata (kwa Kihispania: Maria Soledad; jina la awali: Manuela Torres y Acosta; Madrid, 2 Desemba 1826 - Madrid, 11 Oktoba 1887) alikuwa bikira wa Kanisa Katoliki nchini Hispania ambaye tangu ujanani alionyesha huruma ya pekee kwa wagonjwa waliohitaji zaidi matunzo, akawahudumia kwa kujikatalia kabisa, akaanzisha shirika lijulikanalo kama Watumishi wa Maria Wahudumu wa Wagonjwa[1].

Papa Pius XII alimtangaza mwenye heri tarehe 5 Februari 1950 na Papa Paulo VI mtakatifu tarehe 25 Januari 1970.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo ya Kiswahili
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads