Maria Eujenia wa Yesu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Maria Eujenia wa Yesu (jina la awali kwa Kifaransa Anne-Eugénie Milleret de Brou; Metz, Moselle, 25 Agosti 1817 – Auteuil, Paris, Île-de-France, 10 Machi 1898) alikuwa bikira Mfaransa aliyeanzisha shirika la Masista wa Kupalizwa Mbinguni kwa ajili ya kulea wasichana[1][2].

Shirika hilo limeenea hata Tanzania (Arusha).
Alitangazwa mwenye heri na Papa Paulo VI tarehe 9 Februari 1975, halafu mtakatifu na Papa Benedikto XVI tarehe 3 Juni 2007.
Sikukuu yake huadhimishwa na Kanisa Katoliki tarehe 10 Machi.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads