Maria Fu Guilin
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Maria Fu Guilin (Luopo, 1863 hivi - Dailucun, 20 Julai 1900) alikuwa mwalimu mwanamke wa China aliyefia Ukristo wakati wa Uasi wa Waboksa.

Alitolewa kwa maadui wa Injili na kukatwa kichwa huku akimuitia Kristo Mwokozi[1]
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai, lakini ya kwake mwenyewe tarehe 20 Julai[2].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads