Marine Le Pen
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Marine Le Pen (amezaliwa Neuilly-sur-Seine, 5 Agosti 1968) ni mwanasiasa wa Ufaransa.
Remove ads
Maisha
Binti mdogo wa Jean-Marie Le Pen, alifanya kazi kama mwanasheria kati ya miaka 1992 na 1998, mwanachama wa Bunge la Ulaya tangu mwaka 2004, rais wa chama cha kisiasa cha Front National tangu tarehe 16 Januari 2011.[1]
Marejeo
Maisha yake alivyoyaandika mwenyewe
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads