Markulo wa Numidia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Markulo wa Numidia (alifariki 347) alikuwa askofu huko Numidia, leo nchini Algeria, aliyeuawa kwa ajili ya imani yake [1] kwa kutoswa gengeni na Makari fulani wakati wa kaisari Konstans I [2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Novemba[3].
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads