25 Novemba
tarehe From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Tarehe 25 Novemba ni siku ya 329 ya mwaka (ya 330 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 36.
Okt - Novemba - Des | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Matukio
- 1185 - Uchaguzi wa Papa Urban III
- 1277 - Uchaguzi wa Papa Nikolasi III
- 1975 - Nchi ya Surinam inapata uhuru kutoka Uholanzi
Waliozaliwa
- 1844 - Karl Friedrich Benz, mhandisi Mjerumani na mtengenezaji motokaa
- 1926 - Tsung-Dao Lee, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1957
- 1980 - Aleen Bailey, mwanariadha wa Olimpiki kutoka Jamaika
- 1980 - Aaron Mokoena, mchezaji mpira kutoka Afrika Kusini
Waliofariki
- 311 - Mtakatifu Petro wa Aleksandria, Papa wa Kanisa la Kikopti
- 1185 - Papa Lucius III
- 1885 - Thomas Hendricks, Kaimu Rais wa Marekani (1885)
- 1935 - Iyasu V, mfalme mkuu wa Uhabeshi
- 1950 - Johannes Vilhelm Jensen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1944
- 1968 - Upton Sinclair, mwandishi kutoka Marekani
- 1997 - Hastings Kamuzu Banda, rais wa Malawi (1966-1994)
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Katerina wa Aleksandria, Merkuri wa Kaisarea, Musa wa Roma, Petro I wa Aleksandria, Esiki, Pakomi na Theodori, Markulo wa Numidia, Maurini wa Augen, Petro Yi Ho-yong n.k.
Viungo vya nje
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 25 Novemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads