Marsiana wa Mauretania
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Marsiana wa Mauretania alikuwa bikira Mkristo wa Russucur (leo Dellys katika Algeria) aliyefia dini yake kwa kutupwa kama chakula kwa wanyamapori katika kiwanja cha michezo cha Cherchell wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian na Maximian Herculeus mwaka 303[1][2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Julai[3], lakini pia 9 Januari[4].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads