Masensi wa Poitiers
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Masensi wa Poitiers (pia: Maxentius, Maixent; Agde, 445 hivi - Poitiers, 26 Juni 515) alikuwa abati maarufu kwa maadili mema nchini Ufaransa[1].
Habari zake zimesimuliwa na Gregori wa Tours.
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads