Mashonaland ya Kati
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mashonaland ya Kati ni mkoa wa Zimbabwe upande wa kaskazini mashariki wa nchi.

Una eneo la kilometa mraba 28,347 na wakazi 1,385,000 (202)[1].
Makao makuu yako Bindura.
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads