Masimo wa Asia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Masimo wa Asia (alifariki 250 hivi) alikuwa Mkristo wa mkoa wa Asia, leo nchini Uturuki) aliyeuawa kwa kupigwa mawe wakati wa dhuluma ya kaisari Decius wa Dola la Roma[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads