Masimo wa Yerusalemu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Masimo wa Yerusalemu (alifariki 350 hivi) alikuwa askofu wa Yerusalemu kuanzia mwaka 333 hivi hadi kifo chake[1].
Wakati wa dhuluma ya kaisari Maximinus Daia alinyofolewa jicho na kuunguzwa mguu, pia alitumwa migodini kufanya kazi ya shokoa. Baadaye alifanywa askofu[2].
Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads