Maskula
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Maskula (alifariki 462 hivi) alikuwa Mkristo Mkatoliki wa ukoo bora ambaye alikatwa kichwa na Wavandali katika karne ya 5, wakati wa utawala wa mfalme Genseriki aliyekuwa Mwario.
Habari zake zimeandikwa na askofu Vikta wa Vita[1].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 29 Machi lakini hatajwi tena pamoja na wenzake Armogaste, Arkimino na Saturus katika Martyrologium Romanum.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads