Wilaya ya Maswa

From Wikipedia, the free encyclopedia

Wilaya ya Maswa
Remove ads

Wilaya ya Maswa ni wilaya mojawapo kati ya 6 za Mkoa wa Simiyu.

Thumb
Mahali pa Maswa (kijani) katika mkoa wa Shinyanga kabla ya mkoa huo kumegwa mnamo Machi 2012.

Eneo la wilaya ni kilomita za mraba 3,398 na kati yake km2 2,375 zinafaa kwa kilimo, nyingine ni misitu na milima.

Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 344,125. [1] Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 427,864 [2].

Misimbo ya posta katika wilaya hii inaanza kwa 393...

Remove ads

Marejeo

Viungo vya Nje

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads