Mathayo Correa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mathayo Correa (jina kamili kwa Kihispania: Mateo Correa Magallanes; Tepechitlan, Zacatecas, Mexico, 23 Julai 1866 – Durango, Mexico, 6 Februari 1927[1]) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki nchini Meksiko hadi alipouawa bila kesi wakati wa Vita vya Wakristero kwa sababu alikataa kuvunja siri ya kitubio[2][3].

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 22 Novemba 1992 halafu mtakatifu mfiadini tarehe 21 Mei 2000 pamoja na wenzake 24 waliofia dini katika vita hivyo[4]:
Sikukuu yao inaadhimishwa kila tarehe 21 Mei ila ya kwake mwenyewe ni tarehe ya kifodini chake[5].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads