Mathayo II wa Aleksandria

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Mathayo II wa Aleksandria kuanzia mwaka 1452 hadi 23 Septemba 1465 alikuwa Patriarki wa 90 wa Kanisa la Kikopti[1].

Thumb
Msalaba wa Kikopti.

Kabla ya hapo alikuwa mmonaki.

Anaheshimiwa na Wakopti kama mtakatifu[2].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads