Maura
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Maura (pia: Moura; alifariki 286) alikuwa Mkristo wa Antinoe, Misri, aliyeuawa kwa ajili ya imani yake pamoja na mume wake Timotheo Msomaji wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian[1][2].

Baada ya kupigiliwa misumari ukutani aliteseka siku 9 kabla hajafa.
Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Mei[3] au 25 Septemba.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads