Timotheo Msomaji
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Timotheo Msomaji (alifariki 286) alikuwa Mkristo wa Antinoe, Misri, aliyeuawa kwa ajili ya imani yake pamoja na mke wake Maura wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian[1][2].Baada ya kupigiliwa misumari ukutani aliteseka siku 9 kabla hajafa.Baba yake alikuwa padri Pikolposos. Timotheo alipaswa kunakili na kutunza vitabu vya ibada. Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Mei[3].

Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads