Mauro wa Roma
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mauro wa Roma (alifariki Roma, Italia, karne ya 4 hivi) alikuwa mtoto wa Roma aliyeuawa kwa ajili ya dini ya Kikristo, inasemekana pamoja na wazazi na ndugu yake.
Papa Damaso I alimtangaza kutokuwa na dhambi na kushinda mateso yake yaliyokusudiwa kumsogeza mbali na imani yake [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake ni tarehe 10 Desemba[2].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads