Mavilus

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Mavilus (pia: Mayulo; alifariki 196 au 212) alikuwa Mkristo wa Hadrumetum (leo Susa, nchini Tunisia) aliyetupwa kuliwa na wanyamapori kwa ajili ya imani yake wakati wa dhuluma ya kaisari Caracalla[1][2].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Mei[3] au 4 Januari[4].

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads