Diez

From Wikipedia, the free encyclopedia

Diez
Remove ads

Diez ni mji mdogo uliopo jimbo la Rhine-Palatino ya Ujerumani.

Makala hii ina dalili ya kutungwa kwa kutegemea programu ya kompyuta kama vile "Google translation" au "wikimedia special:content translation" bila masahihisho ya kutosha. Watumiaji wanaombwa kuchunguza tena lugha, viungo na muundo wake. Wakiridhika na hali yake wanaweza kuondoa kigezo hiki kinachoonekana kwenye dirisha la kuhariri juu ya matini ya makala kwa kutumia alama za {{tafsiri kompyuta}} .

Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Thumb
Diez
Thumb
Ukumbi wa mji huko barabara wa Wilhelm
Thumb
Daraja la zamani ya mto Lahn
Thumb
Kanisa la Anglikana Diez
Thumb
Ngome wa mji Diez
Thumb
Jukwaa na treni kituoni cha reli Diez Ost
Remove ads

Eneo

Diez ni mji mdogo ya Wilaya ya Rhine-Lahn. Diez ni mji ya halmashauri ya Kata ya Diez pia, halmashauri ya Wilaya ya Rhine-Lahn ni huko Bad Ems.

Kuna mito miwili, Lahn na Aar. Mwisho wa mto Aar ipo bustani ya mji kati za Diez. Mji wa Diez ina mpaka na mji mdogo Limburg huku Hesse, Diez ipo mpaka ya jimbo.

Kuna sehemu mbili ya mji wa Diez, ni kati ya mji, Freiendiez ni kata ya Diez (kuna kata hizi mbili tu).

Remove ads

Kuhusu

Mji ni muhimu kwa biashara na ya utalii pia. Kuna watalii wengi wanafika majira ya joto (mwezi wa 4 hadi mwezi wa 9), pia Diez ipo hospitali kuu, ya zamani imekuwa hospitali ya msalaba nyekundu, leo inamilikiwa ya hospitali ya Limburg.

Kodi za posta ni 65582, kodi za simu ni 06432.

Kuna maktaba wa mji pia, ipo barabara wa Wilhelm. Pia kuna shule ya sekondari na ya chuo kikuu inaitawa "Shule ya Nicholaus-August Otto".

Pia sehemu ya Freiendiez Kuna bwawa la kuogelea, kiwanja ya mazoezi yaa barafu pia.

Gereza ya Diez huko kata ya Freiendiez ni Gereza kubwa zaidi wote jimbo la Rhine-Palatino.

Kuna kambi moja huko Diez, kambi ya Wilhelm Nassauer, zamani ilikuwa kambi ya kijeshi ya Ujerumani, leo ni kambi ya polisi ya nchi Ujerumani.

Ngome ya jiji Diez ipo katikati ya mji juu ya mlima. Ngome ya Oranienstein ipo kati ya mji Diez na kijiji Aull, na Gückingen.

Remove ads

Usafiri

Diez ina kituo cha reli inaitawa Diez, mistari wa huduma za Lahn-Eifel-Bahn RB23, Limburg - Koblenz - Mayen, na RE25, Giessen - Limburg - Diez - Bad Ems - Koblenz, na kituo Diez Ost, (huduma za sehemu ya HLB Dreiländerbahn) mistari RB90, Limburg - Westerburg - Altenkirchen - Siegen, na RB29, Limburg - Siershahn.

Zamani imekuwa na huduma za treni za Aar-Thal pia Diez - Hahnstaetten - Bad Schwalbach - Wiesbaden. Pia kuna mabasi ya eneo zinasafiriwa Diez. Diez ipo eneo ya umoja wa usafiri wa umma wa Rhine-Moselle (VRM).

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads