Mbagala

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Mbagala ni kata ya Wilaya ya Temeke katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania, yenye postikodi namba 15113.

Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Remove ads

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 46,217 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 52,582 waishio humo.[2]

Inasemekana kata hii ni chafu, ndiyo maana inaongoza kwa milipuko ya magonjwa, na pia kuna miundombinu mibovu na msongamano wa nyumba, watu wengi kuwa na shule ndogo na hizo shule kukosa vifaa na walimu: hizo ndizo shida kubwa zinazosumbua Mbagala. Lakini hakuna shida ya maji kama kata nyingine za jiji.

Remove ads

Marejeo

Loading content...
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads