Mdalasini

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mdalasini
Remove ads

Midalasini ni miti mikubwa kiasi ya jenasi Cinnamomum katika familia Lauraceae ambayo gome lao hutumika kama kiungo kinachoitwa dalasini. Jenasi Cinnamomum ina spishi zaidi ya 300 lakini gome la spishi 6 tu huuzwa kama dalasini.

Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Remove ads

Spishi

  • Cinnamomum burmanni, Mdalasini wa Indonesia
  • Cinnamomum cassia, Mdalasini wa Uchina
  • Cinnamomum citriodorum, Mdalasini wa Malabar
  • Cinnamomum loureiroi, Mdalasini wa Saigon
  • Cinnamomum tamala, Mdalasini wa Uhindi
  • Cinnamomum verum, Mdalasini wa Kweli au wa Sri Lanka

Picha

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads