Mdengu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mdengu (Lens culinaris) ni jina la mmea katika familia Fabaceae unaozaa dengu (pia adesi), mbegu zake ambazo zimo mbili mbili ndani ya makaka. Jina la jenasi linatoka kwa umbo wa mbegu unaofanana na lenzi mbinuko.
Remove ads
Picha
- Midengu inayobeba maua
- Maua
- Maua kwa karibu
- Rangi tatu za dengu
![]() |
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mdengu kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads