Mdudu Mabawa-makubwa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Wadudu mabawa-makubwa ni wadudu wakubwa kiasi hadi wakubwa sana wa oda Megaloptera (megalos = kubwa, ptera = mabawa) ambao wana mabawa makubwa yakilinganishwa na mwili wao. Wanaruka angani vigoigoi. Muda wa maisha ya wadudu wapevu ni mfupi, kwa kawaida siku chache (si zaidi ya wiki moja). Kwa kinyume lava huishi miaka 1-5 majini.
Oda hii ina familia mbili tu na spishi 8 zimeelezwa katika Afrika. Spishi kubwa kabisa duniani imefunuliwa huko Uchina. Haijapata jina la kisayansi lakini jina la Kiingereza ni Giant dobsonfly. Urefu wa mabawa pamoja ni sm 21.
Remove ads
Spishi za Afrika
- Chloroniella peringueyi
- Leptosialis africana
- Leptosialis necopinata
- Madachauliodes ranomafana
- Madachauliodes torrentialis
- Platychauliodes capensis
- Platychauliodes woodi
- Taeniochauliodes ochraceopennis
Picha
- Eumegaloptera/Corydalidae (Corydalis cornutus)
- Neomegaloptera/Sialidae (Sialis lutaria)
![]() |
Makala hii kuhusu mdudu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mdudu Mabawa-makubwa kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads