Meinardi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Meinardi (kwa Kijerumani: Meinhard; 1134/1136 - 1196) alikuwa padri kanoni wa Ujerumani ambaye alipokaribia uzee alikwenda kufanya umisionari huko Livonia, leo Latvia, akawa askofu wa kwanza wa nchi hiyo na kuiwekea msingi imara ya imani ya Kikristo[1][2].

Tangu kale anaheshimiwa na madhehebu mbalimbali kama mtakatifu. Heshima hiyo ilithibitishwa na Papa Yohane Paulo II tarehe 8 Septemba 1993.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads