Meinolfi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Meinolfi (pia: Meinolf, Meinolfus, Meinulfus, Meinulphus, Magenulphus; 795 hivi - Böddeken, 5 Oktoba 857) alikuwa shemasi tena shemasi mkuu wa jimbo la Paderborn aliyeanzisha monasteri ya mabikira alipofariki [1].

Anaheshimiwa tangu kale kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads