Mektilde wa Hackeborn
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mektilde wa Hackeborn, O.S.B. (pia: Mechthild, Mechtilde; 1240/1241 – 19 Novemba 1298) alikuwa mmonaki wa kike wa monasteri ya Helfta nchini Ujerumani, maarufu kwa ujuzi wa dini na unyenyekevu, aliyeangazwa na Mungu katika sala ya kumiminiwa[1].

Ndiye aliyemlea mtoto Getrude Mkuu.
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki, Waanglikana na Walutheri kama mtakatifu bikira.
Sikukuu yake ni tarehe 19 Novemba[2].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads