Metroni
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Metroni (aliishi Verona, Italia, karne ya 8) alikuwa mkaapweke maarufu kwa ugumu wa maisha aliojipatia baada ya kuishi kwa anasa [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads