Midlands, Zimbabwe

From Wikipedia, the free encyclopedia

Midlands, Zimbabwe
Remove ads

Midlands, Zimbabwe ni mkoa wa Zimbabwe ulioko katikati ya nchi.

Thumb
Midlands, Zimbabwe na mikoa mingine ya Zimbabwe.

Una eneo la kilometa mraba 49,166 na wakazi 1,812,000 (2022[1]).

Makao makuu yako Gweru.

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads