Mikumi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mikumi ni kata ya Wilaya ya Kilosa katika Mkoa wa Morogoro, Tanzania.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 31,220 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 19,977 waishio humo. [2]
Kabila asili ambalo linaishi humo ni Wavidunda.
Mikumi iko kwenye barabara kuu ya TANZAM kando ya Hifadhi ya Mikumi.
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads